EPL wamwangazie Feitoto

Aonyeshe kiwango kwenye timu ya Taifa au mechi za kimataifa hii ndondo nani aifuatilia zaidi ya sisi W
Watanzania
 
Mimi nimecheza ligi ya mkoa sijisifii niliacha mpira kwasababu sikuona potential

Kwa umri wa huyo kijana amakosa vitu vingi sana ukiangalia first touch yake utaligundua usiangalie shots tu,shots hata wewe unaweza kijifunza

Nikuulize swali
Uyo anaweza kuingia kwenye kikosi cha mamelody sundown akawa regular starter! Jbu ni hapana

Al ahly je hapana

Usizungumzie uingereza anza na ligi ambazo hazina kasi km uturuki na ubelgiji uko ataweza?
Mkuu uliwahi kucheza hata Timu yenu ya Kijiji..?
 
Kuna watu kila mechi wanaumizwa na huyu dogo, lakini bado tu wanaendelea kumnyima heshima yake. Kiufupi dogo ni fundi.

Na atakaye bisha na abishe tu. Imagine karibia magolikipa wote wa timu kubwa kawatungua magoli ya mita zaidi ya 20!
 
Aliyewahi kuwa kocha waTanzania Emanuel Amunike alishasema miaka mingi iliyopita Feisal Salum anastahili kukipiga pale Barcelona ya Spain.
Wewe mleta Mada nikama unarudia tu ila wanao lijua Soka kuanzia kucheza mbaka kufundisha katika Level za kimataifa kama Coach Amunike walisha liona ilo.
 
Aisaidie kwanza team yake kwenye Caf champions league
 
Huyu dogo anacheza kabisa hata hapo Emirates kwani nini au nani pale mwenye maajabu.

Huyu dogo ni hazina .fundi adui wa makipa Anaebisha abishe ndo ukweli.
Ukitaka kujua uchawi upo,mwangalie Fei Toto akicheza Stars.Huyo ndiye Fei halisi huyu wa utopolo ni mazingambwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…