EPL yaaibishwa zaidi, Everton apigwa tano Europa

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Wimbi la timu za Ligi Kuu ya Uingereza almaarufu EPL limeendelea jana ambapo Everton imepigwa bao 5 kwa 2 na Dynamo Kyiv ya Ukraine kwenye Europa. Everton ni timu pekee ya EPL iliyosalia katika mashindano ya Ulaya.

Ligi ya rugby chali kabisa
 
Hao watu wamefanywa kitu mbaya sana jana, sijawahi kuona.
 
Kwa Ulaya Uingereza ni sawa na Tanzania ilivyo Afrika, maneno meeengi lakini ni ligi ya nyumbani tu.
 
waingereza wamewajaza ujinga washabiki wengi wa Tanzania kutokana na majisifu ya vyombo vyao vya habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…