EPS Panel: Kwanini teknolojia hii haitumiki sana Tanzania?

MC RAS PAROKO

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
623
Reaction score
606
Ni matumaini yangu mu wazima wa afya.

Kwa leo naomba kujuzwa na walio wataalamu kwenye sekta ya ujenzi kwa nini teknolojia hii ya kutumia panel za EPS (Expanded Polystyrene) haitumiki sana hapa kwetu Tz?

Sababu za kutaka kupata ufafanuzikatika hili nikwamba, nimeona wenzetu majirani wanatumia sana aina hii ya ujenzi ambayo kwa maelezo ya wengi ni nafuuna salama kutiko ujenzi wa kutumia matofali kama wengi tulivyozoea. Imefika mahali hata taasisi za serikali naona nao wanatumia mfumo huu kujenga nyumba zao za gharama nafuu ila hapa kwetu nimejaribu kutafuta hata wauzaji tu pengine wanijuze mawili matatu ila nimekosa. kwa yeyote mwenye kujua zaidi kuhusu hii teknolojia atusaidie tafadhali wengi tunaweza kuponea hapa sababu inasemekana zinaweza kujenga ghorofa hadi 22 kwenda juu. Uswazi huku nikiweka hata 2 tu inatosha kuwachungulia wenzangu kwa chini. sababu haina gharama nyingi kama mnavyoona katika picha na ni muda mfupi tu jengo linakamilika.

naomba kuwasilisha

 

Attachments

  • 16425978_769145016575689_3529924114277085385_n.jpg
    44 KB · Views: 63
Toa maelezo yanayojitosheleza kama gharama za ujenzi kuwa nafuu kivip na kwa kiasi gani ukilinganisha na ujenzi tuliozowea?

Upatikanaji wa hiyo material ukoje hapa nchini kwetu...au MPAKA kuagiza nje ya nchi. ?

Umesema nchi zingine WANATUMIA kama nchi gani I'll basi tujaribu hata kulinganisha halivyao ya hewa na yetu?

Funguka tujuwe mengi tuna hamu ya kujenga kwa bei nafuu ila hatujui tuanzie wapi.
 
Mbona watu wanajengea hapa bongo? Tena Sana... And zinaitwa STRUCTURAL INSULATED PANELS
 
Hebu check out this page on Instagram @baris_construction

 
Imekaa poa sana ila mimi imeniacha mbali sana kwani nilitegemea kama ningepata tofauti ya gharama ya nyumba ya tofali ya EPS PANEL
 
Habari wadau, kuna hawa jamaa wanajiita Mega Panel Tanzania Mega Panels | Home wanauza material kama za wadau kadhaa walizozieleza hapo juu ILA niwasumbufu hasa kama unataka kwanza kuandaliwa au kulipia BOQ. Naomba iwapo kuna mtaalamu yeyote mwenye ujuzi wa haya mambo tuwasiliane Inbox.

Ahsante
 


Mkuu nashukuru kwa taarifa,

Hii kitu naweza kuipata wapi?

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…