INAUZWA EPSON L382 multifanctioning printer used inauzwa 360

cyrax

Senior Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
105
Reaction score
88
Inafanya kazi zote 3 print scan copy
Matumizi mazuri ya wino print page 15000
Inatumia wino 4 vitenki vya nje na ni rahisi kujaza unapoisha.

Printer imetumika muda mfupi miezi 3 haikufanyia biashara inatumika kwa matumizi binafsi.

Bei ni 360,000 maongezi yapo, inahitajika hela ya haraka.
Ziada nitakupatia wino chupa 2, printer cable na CD ya drive

Nipo Dar nicheck pm au
0752610439,
 
Ina print page elfu kumi na tano ama elfu moja miatano mkuu?
 
hizi printer ziko vizuri katika ufanisi ila kero yake moja tu iki-stuck hua ina-blink double lights na hapo hata uizime na kuiwasha bado huta-solve

kero nyingine ni gharama ya wino wake halisia unauzwa bei mno, just imagine kichupa kimoja kinauzwa 80k na vinatakiwa vichupa vinne unajikuta unacheza around 240k wakati huo thamani ya printer ni 300+k
 
Vip inaprint picha?
 
Mkuu huo wino halisia ndio upi mkuu? na una tofauti gani na wino wa kawaida? Nna zaidi ya miaka miwili natumia hiyo printer na wino wake nanunua sh 5,000/= kichupa na unapiga kazi bila shida
 
Mkuu huo wino halisia ndio upi mkuu? na una tofauti gani na wino wa kawaida? Nna zaidi ya miaka miwili natumia hiyo printer na wino wake nanunua sh 5,000/= kichupa na unapiga kazi bila shida

huu wino mara nyingi huja na printer endapo utanunua printer mpya ambayo haijatumika japokua madukani namo wanauza

yani ule wino ndio compatible, huu wa buku 3 hua tuna-force tu kulingana na hali zetu za kiuchumi ila kama pesa kwako sio kikwazo naku-recommend uchukue original ambao kwa kariakoo sehemu nyingi wanauza 80k
 
Hapo nimekusoma mkuu
 
Vip yaweza print picture?
Njoo nikuuzie Epson l805 Ina miez miwili Bado mpya in print page (picha za rangi high quality 1900)kwa gharama ndogo na unatumia wino original wa Epson kichupa 3000 Ina vitank 6 so 18000 unaprint picha DVD cover mpka unasahau nadhan kwa wanaozijua wanajua Moto wake...
Shida ni kwamba nauza siku ya Simba na yanga nilipata ajali na kaboxer kangu so nishaishiwa pesa ivi nipo muhimbili hospital nilivunjika mguu...
Pia nauza na iyo boxer niliyopata nayo ajali..
Bei zake
Epson l805 sh 500000
Boxer lak 6 sio mpya ni ya mda kidogo

Vyote maongezi yapo
Call 0742090831
Nipo dar .. mitaa ya temeke hospital....au mitaa ya uwanja wa taifa
 
Pole sana kwa ajali.
Mwenyezi Mungu akupe uponyaji wa haraka.
 
wakubwa vipi printer ya HP 2050 inaweza kuwekewa huo wino wa elfu tatu
 
Vipi mkubwa huo wino wa elfu tatu naweza uweka kwenye HP 2050
 
Vipi mkubwa huo wino wa elfu tatu naweza uweka kwenye HP 2050
Unamaanisha wino wa epson uutumie kwenye Hp?

Kila printer ina wino wake hua hazishei, labda iwe kampuni moja ila matoleo tofauti
 
Unamaanisha wino wa epson uutumie kwenye Hp?

Kila printer ina wino wake hua hazishei, labda iwe kampuni moja ila matoleo tofauti
Mimi nina brother printer wireless multifunction lina bugia wino vibaya je inawezekana kufanya modifocation kujazia kwa nje kama akina Epson tafadhali naomba msaada
 
Mimi nina brother printer wireless multifunction lina bugia wino vibaya je inawezekana kufanya modifocation kujazia kwa nje kama akina Epson tafadhali naomba msaada
Hahaha mkuu sina intelijensia ya ufundi huo labda uende machinga kwa mafundi printer wanaweza kukupa muongozo
 
Mimi nina brother printer wireless multifunction lina bugia wino vibaya je inawezekana kufanya modifocation kujazia kwa nje kama akina Epson tafadhali naomba msaada
Tafuta CIS yake mitandaoni kulingana na model ya printer yako. CIS ni continuous ink system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…