Superpower JF-Expert Member Joined Oct 11, 2018 Posts 826 Reaction score 920 Jul 2, 2021 #1 Jamani nauliza hivi zile Epson printer ambazo dukani huwa zinauzwa laki nne mtumba wake naweza pata kwa tsha ngapi na je ubora,sifa na efficiency inakuaje.
Jamani nauliza hivi zile Epson printer ambazo dukani huwa zinauzwa laki nne mtumba wake naweza pata kwa tsha ngapi na je ubora,sifa na efficiency inakuaje.
Superpower JF-Expert Member Joined Oct 11, 2018 Posts 826 Reaction score 920 Jul 2, 2021 Thread starter #2 Karibuni
Mzimu wa Kolelo JF-Expert Member Joined Apr 16, 2013 Posts 2,790 Reaction score 8,330 Jul 2, 2021 #3 Usijaribu kununua printa ya mtumba utajuta Ushauri wangu jipange nunua mpya ya DUKANI
Superpower JF-Expert Member Joined Oct 11, 2018 Posts 826 Reaction score 920 Jul 2, 2021 Thread starter #4 Mzimu wa Kolelo said: Usijaribu kununua printa ya mtumba utajuta Ushauri wangu jipange nunua mpya ya DUKANI Click to expand... Mzimu wa Kolelo said: Usijaribu kununua printa ya mtumba utajuta Ushauri wangu jipange nunua mpya ya DUKANI Click to expand... Sawa mkuu nimekupata haswa
Mzimu wa Kolelo said: Usijaribu kununua printa ya mtumba utajuta Ushauri wangu jipange nunua mpya ya DUKANI Click to expand... Mzimu wa Kolelo said: Usijaribu kununua printa ya mtumba utajuta Ushauri wangu jipange nunua mpya ya DUKANI Click to expand... Sawa mkuu nimekupata haswa