Epson toleo la ngapi ndiyo zuri?

Epson toleo la ngapi ndiyo zuri?

Mimi mstaarabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
262
Reaction score
577
Wapendwa nataka kujua EPSON TOLEO LA NGAPU NDO NZURI KWA AJILI YA KAZI ZIFUATAZO:
  • Printing
  • Copy
  • Scanning
  • Kusafisha picha za simu
  • Kusafisha passport size
  • Kutoa copy ya rangi

Kwasasa sina phopocopier nategemea hiyo kwa ajili ya kazi zote hizo. Vile vile iwe HEAVY DUTY
 
Unahitaji epson heavy duty?

Matoleo ninayoyakubali ni l382 (yenye scanner)

L805 kwa mashine zisizo na scanner.

Haya matoleo ya l311... na l30... ni utopolo aka mayai.

L805 zipo nyingi ila ukihitaji l382 karibu mkuu
 
Hivi mkuu hakuna epson ambayo speed yake imechangamka kidogo? Nimetumia L3050 inanyata kweli kweli.
 
Mashine ambayo ilikuwa na speed kiasi ni px660 ambayo kwasasa zinapatikana Kenya tu na ukienda vibaya unapewa used. Hizo 30... na 31... series ni efd machine zilizochangamka. Ni matoleo ya hovyo kuwahi kutokea.
 
Nakuona PM mkuu
 
E
Unahitaji epson heavy duty?

Matoleo ninayoyakubali ni l382 (yenye scanner)

L805 kwa mashine zisizo na scanner.

Haya matoleo ya l311... na l30... ni it I polo aka mayai.

L805 zipo nyingi ila ukihitaji l382 karibu mkuu
Epson L382 zinaweza patikana Kwa bei gani Mpya?
 
Back
Top Bottom