Epuka Corona: Agiza mzigo nchi yoyote, tutausafirisha

Joined
Jun 1, 2021
Posts
99
Reaction score
104
Tupo kwenye nyakati ngumu sana. Corona imeathiri kila nyanja ya maisha yetu. Na kwa kuwa bado hatuna uhakika na mwenendo wake, ni vyema tukaendelea kujilinda na kuepuka maambukizi.

Nasi kama wadau wa lojistiki na usafirishaji, tunaojali afya za wateja wetu, tumeamua kuchukua risk kwa niaba yenu. Maisha lazima yaendelee.

Kama wewe ni mfanyabiashara, kampuni, taasisi, shirika au hata mtu binafsi na unatarajia kuagiza bidhaa nje ya nchi, tupo hapa kwa ajili yako.

Haijalishi unaagiza nini kutoka nchi gani, tutaufuata mzigo kutoka kwa supplier au mahali ulikonunua (hata kwa njia ya mtandao) na kukufikishia popote pale ulipo.

UNAWEZA KUAGIZA:
  • Magari
  • Vifaa vya Ujenzi
  • Vifaa vya Shule na maofisini
  • Vifaa vya Umeme
  • Mazao
  • Bidhaa za Biashara
  • Shehena za Mavazi na Urembo
  • Kompyuta na Teknolojia za Kisasa
  • Chochote utakacho.

Wasiliana nasi kwa huduma ya usafirishaji na uondoshaji mizigo yako bandarini, uwanja wa ndege au mipakani.

Simu: +255 784 271957
Email: info@worldlogisticstz.com na worldlogisticsltd@gmail.com
Tovuti: www.worldlogisticstz.co.tz

NB: Pichani ni baadhi ya mizigo ya wateja wetu tuliyosafirisha siku za hivi karibuni.















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…