Mambo gani mkuu tuelekeze tusijekuangamiaKadiri uwezavyo nakushauri kijana epuka sana kuchora tatoo katika mwili wako. Kuna mambo mengi yamejificha nyuma ya uchoraji wa tatoo katika mwili wa binadamu.
Tatoo hata kama unachora tatoo ya msalaba au kitu unachofikiri ni kitakatifu, ulichofanya ni kitu kibaya na hakitakuacha salama. Tatoo zote ni alama au lugha inayowakilisha jambo fulani katika ulimwengu wa giza. Epuka kuchora tatoo kwa gharama yoyote ile! View attachment 3226165
Tatoo ni signature ya shetani mwilini mwako!Mambo gani mkuu tuelekeze tusijekuangamia
anhaa hoja inapotolewa iende sambamba na ushahidi, waweza kutuelimisha kwa ushahidi wa biblia,quranTatoo ni signature ya shetani mwilini mwako!
Pichani hapo ni wahuni wa El Salvador.... Naangaliaga halafu nafananisha na panya road huku....ππ€£π€£π€£π€£ππ Huenda wanaendana lakiniπ€·πΏββοΈπ€·πΏββοΈπ€·πΏββοΈπ€·πΏββοΈKadiri uwezavyo nakushauri kijana epuka sana kuchora tatoo katika mwili wako. Kuna mambo mengi yamejificha nyuma ya uchoraji wa tatoo katika mwili wa binadamu. Tatoo hata kama unachora tatoo ya msalaba au kitu unachofikiri ni kitakatifu, ulichofanya ni kitu kibaya na hakitakuacha salama. Tatoo zote ni alama au lugha inayowakilisha jambo fulani katika ulimwengu wa giza. Tatoo ni signature za shetani mwilini mwako. Epuka kuchora tatoo kwa gharama yoyote ile! View attachment 3226165