1. kijana wa kuuza duka ambae kashinikizwa na wazazi/ ndugu, hawa mara nyingi wamekubali kazi kwa msukumo tu kishingo upande, ni ngumu kufanya kazi kwa kujitoa
2. Ndugu wa mke - hakikisha wanakaa mbali sana na biashara, ni watu wanaoweza kuvuruga biashara na hata ndoa yako.
3. Rafiki yako besti - sio mikopo tu inaua urafiki, tafutia kazi rafiki yako sehem nyingine chini ya boss mwengine