Aisee kuna ukweli fulani,,,nilienda mji fulani wakati napata chakula mgahawani,,,kulikuwa na muuza duka la jirani anakunywa vinywaji vya dukani balaa,,kuna madam mmoja akasema huyu mwamba anakunywa soda,juisi na smtm anawapa na watu,akasema hili duka likisavaivu sijui
Huyo bilashaka alilazimishwa