MartinCoder
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 700
- 630
Ina maanisha hilo tairi limetengenezwa wiki ya 26 mwaka 2013
code ikiwa 4109 = ina maana tairi limetengenezwa wiki ya 41 mwaka 2009
code ikiwa 1001 =ina maana tairi limetengenezwa wiki ya 10 mwaka 2001
Ukinunua tairi ni muhim kuangalia hyo code kujua ni mwaka gani limetengenezwa ili kuepuka kununua tairi lililokaa miaka mingi dukani; usije kuuziwa tyre lina code 0190 (mfano)= (limetengezwa wiki ya kwanza mwaka 1990)
mifano mingine:
limetengenezwa wiki ya 9 mwaka 2007
nk.