Epuka kununua tairi lililokaa dukani miaka mingi

MartinCoder

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2018
Posts
700
Reaction score
630

Ina maanisha hilo tairi limetengenezwa wiki ya 26 mwaka 2013

code ikiwa 4109 = ina maana tairi limetengenezwa wiki ya 41 mwaka 2009

code ikiwa 1001 =ina maana tairi limetengenezwa wiki ya 10 mwaka 2001

Ukinunua tairi ni muhim kuangalia hyo code kujua ni mwaka gani limetengenezwa ili kuepuka kununua tairi lililokaa miaka mingi dukani; usije kuuziwa tyre lina code 0190 (mfano)= (limetengezwa wiki ya kwanza mwaka 1990)

mifano mingine:

limetengenezwa wiki ya 9 mwaka 2007

limetengenezwa wiki ya 35 mwaka 2007

nk.
 
Na tyre halitakiw kuzid muda gan toka limetengenzwa kipind unanunua?

Recommended:
All tires (including spare tires) that were manufactured more than ten years ago should be replaced with new tires, even if they appear to be usable from their external appearance and if the tread depth may have not reached the minimum wear out depth.
 
Thanks Mkuu kwa taarifa ntalizingatia nikija kutafuta na mm usafir
 
Na tairi linaekisipaya baada ya miaka 4 tu
Inategemea na matumizi mkuu...hiyo miaka minne ni maximum time ya kukaa na tyre.
Inashauriwa ukitembea 40,000km badili tyre hata kama ni ndani ya mwaka.
 
Inategemea na matumizi mkuu...hiyo miaka minne ni maximum time ya kukaa na tyre.
Inashauriwa ukitembea 40,000km badili tyre hata kama ni ndani ya mwaka.
Ni kweli maana tairi linategemea miaka tangu litengenezwe na Km lililotembea hata kama ni mwezi mmoja tangu limetengenezwa
 
Safi kushare ufahamu kwa wengine
 
Inategemea na matumizi mkuu...hiyo miaka minne ni maximum time ya kukaa na tyre.
Inashauriwa ukitembea 40,000km badili tyre hata kama ni ndani ya mwaka.
40,000km. Safi sana mkuu hii knowledge ni muhimu kuwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…