Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Hakikisha unapakua Application kutumia 'Play Store' na 'App Store'
Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store:
- Kunaweza kusababisha "virus" kwenye vifaa vyako kama Kompyuta na simu
- Kusababisha kudukuliwa kwa vifaa vyako
Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store hutumika kama njia mojawapo ya kudukua kifaa cha muhusika bila kujua.
Mara nyingi maelezo katika 'Application' hizi humtaka mhusika kujaza taarifa zake binafsi na hata kuweza kufanya mabadiliko katika kifaa cha mtumiaji.
Hivyo kupitia taarifa hizi humuwezesha Mdukuzi kufanya utapeli na hata vifaa vyako kupata "Virus"