Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Kupitia QR Code wadukuzi wanaweza kutumia kukupeleka katika tovuti hatarishi lakini pia wanaweza kukusanya taarifa zako zilizopo kwenye kifaa chako na kuhatarisha usalama wako Mtandaoni.
Pia kumbuka kutumia Programu za QR Scanner zenye Usalama kwani vinaweza kuchunguza code hiyo kabla ya kukifungua
Angalia makosa ya kisarufi au herufi ya kamouni au tovuti ya QR Code hiyo kabla ya kuifungua