Kupitia QR Code wadukuzi wanaweza kutumia kukupeleka katika tovuti hatarishi lakini pia wanaweza kukusanya taarifa zako zilizopo kwenye kifaa chako na kuhatarisha usalama wako Mtandaoni.
Kabla ya kuscan QR Code hakikisha umethibitisha chanzo cha QR Code hiyo ni salama, unakiamini na unakifahamu Chanzo
Pia kumbuka kutumia Programu za QR Scanner zenye Usalama kwani vinaweza kuchunguza code hiyo kabla ya kukifungua
Angalia makosa ya kisarufi au herufi ya kamouni au tovuti ya QR Code hiyo kabla ya kuifungua