Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
Mapinduzi ya teknolojia, hasa simu za mkononi kwa kiasi kikubwa yamewezesha urahisi katika mahusiano ya kimapenzi.
Hata hivyo, kwa wanaume wenzangu, inabidi tuwe makini sana tunapotongoza. Wanawake sio viumbe wa kuwaamini. Sio watu wa kufanya nao dili.
Tumeshuhudia mara kadhaa watu wakiingia kwenye migogoro ya kijamii na hata ya kijinai kutokana na matongozo yao. Meseji za simu ndio njia rahisi sana kwa sana ya wewe kuingia matatani. Nawapongeza sana akina mama Ananilea kwa jinsi wanavyomsaidia yule mdada aliyekuwa anatakiwa kuliwa uroda na mhindi ndipo apewe haki yake. Kinachomjutisha mhindi yule naamini ni kuufanya ufirauni wake kwa kuandika meseji.
Ingawa unaweza kutongoza kwa 'nia njema', elewa kuwa kuna umuhimu wa kuchukua tahadhari kwani yakiwekwa hadharani inaweza kukuletea matatizo. Ujumbe huu ni msisitizo sana kwa wanaofanya infidelity, wanaotongoza wake za watu, wanafunzi, wachumba za watu na kadhalika. Lakini hata kama unatongoza genuinly, anything can happen maana wanawake ni viumbe wengine kabisa.
Mfano wa mwisho ni wale wasanii wa bongo muvi walitongozana tu kwa nia njema, kumbe demu alikuwa anarekodi kwenye simu, baadae kaenda kumwaga kwenye vyombo vya habari!!!!!!!!!!!!!!