Epuka kutongoza kwa meseji (SMS); Ni big risk...

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Mapinduzi ya teknolojia, hasa simu za mkononi kwa kiasi kikubwa yamewezesha urahisi katika mahusiano ya kimapenzi.
Hata hivyo, kwa wanaume wenzangu, inabidi tuwe makini sana tunapotongoza. Wanawake sio viumbe wa kuwaamini. Sio watu wa kufanya nao dili.
Tumeshuhudia mara kadhaa watu wakiingia kwenye migogoro ya kijamii na hata ya kijinai kutokana na matongozo yao. Meseji za simu ndio njia rahisi sana kwa sana ya wewe kuingia matatani. Nawapongeza sana akina mama Ananilea kwa jinsi wanavyomsaidia yule mdada aliyekuwa anatakiwa kuliwa uroda na mhindi ndipo apewe haki yake. Kinachomjutisha mhindi yule naamini ni kuufanya ufirauni wake kwa kuandika meseji.

Ingawa unaweza kutongoza kwa 'nia njema', elewa kuwa kuna umuhimu wa kuchukua tahadhari kwani yakiwekwa hadharani inaweza kukuletea matatizo. Ujumbe huu ni msisitizo sana kwa wanaofanya infidelity, wanaotongoza wake za watu, wanafunzi, wachumba za watu na kadhalika. Lakini hata kama unatongoza genuinly, anything can happen maana wanawake ni viumbe wengine kabisa.

Mfano wa mwisho ni wale wasanii wa bongo muvi walitongozana tu kwa nia njema, kumbe demu alikuwa anarekodi kwenye simu, baadae kaenda kumwaga kwenye vyombo vya habari!!!!!!!!!!!!!!
 
hahaha kawaida wee tongoza face to face mambo ya simu sio dili!!!
 
Kweli aisee...........Hiyo ni nouma kabisa..........!
 
by the way inakuwa utongoze mke au mchumba wa mtu? si kujitakiwa matatizo tu?
 
Mkuu!
Naona kama unawapa mbinu wazinzi! kwamba hii stahili ina madhara wafanye ingine.
Lakini yote tisa kumi uzinzi ni noma, kwa nini usitulie na wako...?

 
Mkuu!
Naona kama unawapa mbinu wazinzi! kwamba hii stahili ina madhara wafanye ingine.
Lakini yote tisa kumi uzinzi ni noma, kwa nini usitulie na wako...?


Hata huyo wako utampataje bila kumtongoza mkuu?
 
LINGINE: Unaweza ukawa unatongoza mke wa mtu, kumbe anayekujibu hizo sms ni mume wake !

dah!hii kali,yaani we umekaza vidole kwenye batani kumbe njemba mwenzio ndo lina reply,kweli usilolijua usiku wa giza
 
Tatizo siku hizi kila mwanamke ukimuapproach atakuambia ana mtu wake, hata kama hana... Ukisubiri uambiwe niko singo utachakaa...

Duhhh kwa mtaji huu basi
 
Huu uzi unanikumbusha nilipovunja ndoa yangu,mimi nilichukua simu ya mke wng nikabadili jina lilikuwa limeandikwa mjomba,nikaweka namba yngu nayo ijua mimi ila wife haijui,nikakaa kama siku 2 hivi,siku ya 3 nikiwa job nikaweka ile line nikabeep wife,mara napokea msg vp mpenzi mbona hupatikani kwenye simu?najuzi nimekuja mitaa yenu nakupigia hupatikani,huwezi amini nilichat na wife msg kama 30 hivi kabla yeye hajastuka,mpk hapo nilishajua ushenzi wote nikavunja na ndoa leo mwaka wa 4 lakini huwa nikikumbuka mpk nahisi kusisimuka,hawa viumbe hawafai hata robo!msg ni risk kubwa sana,hata tulipokuja wekwa kwenye kikao cha family ilibidi nitoe ushahidi watu wote waliridhika na ushahidi wangu pale'
 
Tatizo siku hizi kila mwanamke ukimuapproach atakuambia ana mtu wake, hata kama hana... Ukisubiri uambiwe niko singo utachakaa...

Mie juzi tu kuna demu kaniambia yupo single 99% na akanitajia sehemu anayokaa na yuko bombaa vibaya mpaka nkachanganyikiwa yaliyoendelea najua mwenyewe....
 
,mara napokea msg vp mpenzi mbona hupatikani kwenye simu?najuzi nimekuja mitaa yenu nakupigia hupatikani,
Hii kali mkuu!
Alafu ukute siku hii ndio ile wife alikuaga anaenda kumuangalia mama yake mzazi ni mgonjwa....! kumbe mambo juukwaju.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…