Epuka kutongoza kwa meseji (SMS); Ni big risk...

Unapaswa kufanyakaz kwa DPP wewe
 
Hii kali mkuu!
Alafu ukute siku hii ndio ile wife alikuaga anaenda kumuangalia mama yake mzazi ni mgonjwa....! kumbe mambo juukwaju.


Mkuu wewe acha tu maana alikuwa busy sana na simu nikaona isiwe tabu nilifuta tu ile namba nikaweka yangu jina nikaacha mjomba,sio rahisi yeye mara 1 kustukia basi ndio ikawa hivyo!
 
Mkuu wewe acha tu maana alikuwa busy sana na simu nikaona isiwe tabu nilifuta tu ile namba nikaweka yangu jina nikaacha mjomba,sio rahisi yeye mara 1 kustukia basi ndio ikawa hivyo!

dah,ulipoweka mjomba,ulimuanzaje?
 
dah,ulipoweka mjomba,ulimuanzaje?

Nilitoka kwenda job ilipofika usiku nipo job,nikambeep tu,baada kama dk 5 yeye akareplay sms vp mpenzi?najua unauliza sana ili na wewe ukafanye,shauri yako'mimi hata baba yangu nlipokuja kumpa ushahidi alinitazama sana akaniambia wewe una roho ngumu kuliko mimi baba yako'najua wapo humu wamepata njia ya kuwakamata wapenzi wao shauri yenu
 
Dah! ngastuka,machale kunchezaa...kuanzia leo ni Flush Sms tu....
 
Tongoza kwa kutumia flash msg tu,,no ushahidi.
flash message inafanyaje kazi? Nifundishe kuitumia aisee,i bloody need to know this technology kabla sijauawa maana wake za watu kuacha siwezi.
 

hahahahahah,nilitaka kujua jins ulivomuanza,ur inteligent kala
 
huu ndo mpango mzima..tena ile inafika tu kwenye inboxs inafunguka yenyewe....akizubaa inapotea hahahaaaa naipendaga sana

hata hiyo flash message ukimtumia mtu akishasoma kisha akaenda kwenye option atakuta neno save or ignore akisave tu jua umeumia. dawa mtokee face to face.
 
epuka kuchunguza chunguza mke wako labda kama umeyachoka maisha ya ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…