Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
nielekeze huduma hii kama inapatikana kwenye nokia e72hata hiyo flash message ukimtumia mtu akishasoma kisha akaenda kwenye option atakuta neno save or ignore akisave tu jua umeumia. dawa mtokee face to face.
flash message inafanyaje kazi? Nifundishe kuitumia aisee,i bloody need to know this technology kabla sijauawa maana wake za watu kuacha siwezi.
Mkuu wewe acha tu maana alikuwa busy sana na simu nikaona isiwe tabu nilifuta tu ile namba nikaweka yangu jina nikaacha mjomba,sio rahisi yeye mara 1 kustukia basi ndio ikawa hivyo!
Dah! sikuelewa mwanzo halafu nikawa nahisi kuna kakitu kazuri ndani! sasa nimekupata una hataaaari lol. . ila umenipA mbinu hahahaaa!
allaaaaa....kumbe? Wacha niendelee na utaratibu wa kuvizia wakati mzee kasafiri.Kha! Balaa hii.. Sasa na flash msgz si ndio utakamatwa. Msg ina display ikiingia. What if mumewe ndio ameishika simu?!
mi mtaalam,sikuanza leo.....hata humu mmu nshavuta mke wa mtu.....chezea bishanga!Bishanga na siku ukikamatwa uje utwambie hapa. . by the way hujawai kutwa hata almanusura!
dan na wewe unatembea na wake za watu? Acha aisee.mimi nimekua nikipunguza risk kwa kuamua kupiga simu kabisa kuliko kutuma sms!
Huyo atakuwa shoga anafurahia jinsi unavyomtongoza mke wake, anahisi kama anatongozwa yeye vile, anakuwa anahamasika.LINGINE: Unaweza ukawa unatongoza mke wa mtu, kumbe anayekujibu hizo sms ni mume wake !
Hatajua imetoka kwa nani. uzuri wa flash msg hata akisev hawez sev mtumaji.
Na hapa ndo panakuwa patamu!!!!!LINGINE: Unaweza ukawa unatongoza mke wa mtu, kumbe anayekujibu hizo sms ni mume wake !
mi mtaalam,sikuanza leo.....hata humu mmu nshavuta mke wa mtu.....chezea bishanga!
nielekeze huduma hii kama inapatikana kwenye nokia e72