Epuka mambo haya matatu -- utanishukuru!

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Wanadamu tusipozibiti haya mambo matatu basi lazima utakuja kushangaa,kujilaumu na mengineyo.

Mambo matatu yenyewe:

( 1) Unapokuwa na furaha usitoe "ahadi"
ijalishi furahaa hupo sehemu gani kwenye mapenzi, urabuni, sherehe, starehe, mafanikio n.k. Hapa watu wengi hutoa ahadi wasizotegemea kwa sababu wapo tu kwenye furaha.

(2) Unapo kuwa na hasira usitoe "jibu"
hasira ni kitu cha ajabu sana na kumfanya mwanadamu yoyote kutoa majibu ya haraka kama vitendo au maneno.
Kama utaona umeweza kulizuia basi epuka.

(3) Unapokuwa na uhuzuni usitoe " mmaamuzi

Huzuni ni mshauri kumbwa wa maamuzi kwa asilimia kubwa kuangukia kwenye maamuzi mabaya. Watu wengi waliokuwa na huzuni ujikuta kwenye maamuzi mabaya sana.

Mambo matatu haya ndiyo yatatufungia mwaka 2021
 
Hapo kwenye namba moja nakuelewa sana.
 
4) ukipokea namba ngeni au message ya mtu usiemjua kakutumia link yeyote usiifungue.. usije ukajilaumu baada ya kuifungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…