Epuka mazingira haya ili ujikinge na Corona

Epuka mazingira haya ili ujikinge na Corona

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
20210310_093724_0000.png


Maeneo ya ndani, haswa mazingira ambayo uingizaji hewa ni duni au hakuna hewa, ni hatari kuliko maeneo ya nje

Sehemu zenye msongamano na watu wengi kama maeneo ya masoko

Mahali ambapo watu wamekaa pamoja kwa muda mrefu, wakiwa na mazungumzo ya karibu kama mikutano
 
Upvote 0
Usafiri wa umma haukwepeki mkuu, kwasababu sio wattanzania wote wana uwezo wa kumiliki usafiri binafsi.
 
zile mwendo kas zinavyopiga nyomi ni atariii...ila mbona watu wapo tuuu
 
Usafiri wa umma haukwepeki mkuu, kwasababu sio wattanzania wote wana uwezo wa kumiliki usafiri binafsi.
Ni kweli basi anagalau VAA BARAKOA na utumie sanitiser pale utokapo kwenye msongamano wa aina hiyo na zaidi tuzidi kuboresha usafi wa mikono kwa kunawa mara kwa mara kwa SABUNI NA MAJI TIRIRIKA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom