Epuka misongamano nitume sokoni

Epuka misongamano nitume sokoni

masause

Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
53
Reaction score
97
Heshima zenu wakubwa
Wakati tukiwa tunaendelea kupambana na COVID-19 na magonjwa mengine mengi na tkuiwa tunaepuka kwa kupunguza
misongano ,kuvaa barakoa na njia nyinginezo .nimekuja na mbinu mpya ya kuwa saidia wahitaji wa vitu viuzwavyo masokoni na magengeni kwa kuweka order online na mimi naenda kununulia na kukuletea

huduma hii itakuwa kkuanzia asubuhi hadi jioni ,na nilishwahi kufanya huduma hii kwa mwaka jana na pengine eapo watu humu niliowahi kuwahudumia ,mimi npo Dar
unachikifanya ni kuweka order kwa unachohitaji ambacho kipo sokoni kama vile
1-mboga mboga
2-vitunguu maji
3-vitunguu saum
4-machungwa na matunda mengine
5-ndizi mbivu na mbichi
6-nazi
7-pilipili
8-carrot
9-mihogo
10-maharage
Na vingine ntatafuta kutoakana na uhitaji wa mteja na ikumbukwe kuwa bidhaa hizi zitakuwa kwa bei ile ile ya sokoni ila utakacholipa wewe nnaukuletea ni gharama ya kukufikishia ambayo nayo itaendana na umbali ulipo toka sokoni hadi nyumbani kwako

Asanteni sana pia npo tayari kujiunga na vijana wenzangu wenye nia ya kufanya huduma hii
 
Wewe una faidika vipi? Kwa sababu ukisema mtu alipe tu ghaeama za kusafirishiwa haitoshi, ungesema kwamba kama Nyanya ni sh 2000 basi kukuwa na % fulani inaongezeka hapo
 
Back
Top Bottom