Epuka salamu ya kupeana / kushikana mikono, Avoid unnecessary hand shaking

Katika haya maelezo yako yote,haujajibu maswali yangu.

Anyway,asante,endelea na mada yako,ila tambua neno moja,MUNGU HASHINDWI NA WACHAWI,NA WALA HATUTAKIWI KUCHUKUA TAHADHALI YOYOTE JUU YA WACHAWI IKIWA TAYAIR TUMEKUBALIWA NA MUNGU.
 
Sawa ndugu mtumishi wa biblia
 
Katika haya maelezo yako yote,haujajibu maswali yangu.

Anyway,asante,endelea na mada yako,ila tambua neno moja,MUNGU HASHINDWI NA WACHAWI,NA WALA HATUTAKIWI KUCHUKUA TAHADHALI YOYOTE JUU YA WACHAWI IKIWA TAYAIR TUMEKUBALIWA NA MUNGU.
Ukisoma kitabu cha wafalme habari ya nabii kijana na nabii mzee..

utaona nabii kijana alitakiwa kuchukua tahadhari ya kutokula chakula cha wachawi.

Utaona pia Daniel na Meshack walichukua tahadhari ya kutokula chakula cha wachawi ili wasije wakajitia unajisi.
ROHO mtakatifu anayetuongelesha ndani yetu ni wa kumsikiliza.
 
Kama roho ameshakushuhudia kuwa usiende au usile au usifanye jambo fulani,na unauhakika ni sauti ya Roho mtakatifu anakuzuia kifanya jambo hilo ,ni vizuri kutii..

kutii ni bora kuliko..
 
Unapotosha,issue sio kutokula chakula cha wachawi,alipewa oda kutokula kabisa!

Kwa akina Danieli,hakuna uchawi pale,Ile ni habari ya ibada.

Wewe mungu wako anaogopa wachawi,hivyo hataki mpeane mikono na wachawi.

Badala upambane kupata njia ya mbingu,uko busy kuwajua wachawi na kuwakwepa.

POLE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…