Hii gari iko sokoni Osaka, $749, jumlisha usafiri inakuwa jumla $2,100 kuinunua Osaka mpaka Kurasini.
(hii Nissan ni mfano tu, kwa wale wanaoishi na kuapa kwa jina la Toyota, Vitz, IST, Noah... hesabu ni zile zile!)
Kuichomoa Kurasini CCM wanataka milioni 11 laki tatu, jumla milioni 15, yani gari lime shuti kutoka milioni 4 mpaka 15. Okay, that's fine, sisi hatuzalishi magari kwa hiyo bei haziwezi kuwa kama za Osaka. Lakini unapunguzaje haya magharama ya kutaka kutufanya wote tuishi kama mashetani?
Wana njia mbili kubwa za kukupiga:
Kuna "excise duty due to age," au kodi ya uchakavu. Mantiki yake ilikuwa kukatisha tamaa uingizaji wa magari mabovu. Lakini cha ajabu ukichukua gari hiyo hiyo ya mwaka mmoja nyuma, yani nzee zaidi, kodi ya CCM inashuka kutoka milioni 11 laki tatu unusu mpaka 9 laki 4, milioni mbili nzima!
Which means, kodi ya uchakavu, na legislative intent yake, yani malengo ya sheria hii, yamekuwa ni uongo na ni wizi mtupu!
Pengine wanapokupigia na panapofanya import bill ina quadruple ni kwenye kitu wanaita "Customs Value CIF." Kwamba wao ndio wanathaminisha hiyo gari, sio wewe. Which is perfectly understandable. Uwizi wao ni pale wanaposema tofauti ya mwaka mmoja inaleta tofauti ya thamani kwa dola mia nane wakati sio kweli mtaani, magari Tanzania hayapimwi kwa mwaka iliyotengenezwa wala kwa mileage, bali kwa namba ya kibao!
Kwa hiyo tazama kodi inavyopungua kwa kushusha mwaka wa gari kwa mwaka mmoja tu!
Kupambana na ujambazi huu wa TRA ya CCM achana na hii gari, agiza nzee kwa mwaka mmoja, uta save sana na thamani yake siku ya kuuza itakuwa ni kama ile ile ya 2006 kwa sababu gari hizi zingepewa namba ile ile, namba D! Tanzania magari yanathaminishwa kwa namba za vibao!