Epuka wanawake ili uishi Kwa furaha


Mkuu kama unataka maisha kwenye ukamilifu wake basi ya kupasa kuwa na mwanamke. Tatizo ni aina gani ya mwanamke, ukimpata mwanamke ambaye mna chemistry nzuri na anajua nafasi yake kama mke na mama kwenye familia basi hayo yote uliyoyasema si sahihi.

Ukitaka kufika haraka, nenda peke yako lakini ukitaka kufika mbali basi nenda na mwenzako.
 
Msafara wa mamba kenge nao wamo, huyu ni kengee kabisa
 
Unatuambia tukatae ndoa tamaa kingono tutibuje? Hebu fafanua hapa kuna njia mbadala? Tupige nyeto au tufanyaje? Au tununue ile midoli?
 
Miaka 23 ndio nilikuwa kicheche balaa. Hapo ndipo nilipowajua wanawake na ikanisaidia sana kwenye kufanya maamuzi ya kuoa. Nachokiona kwako utaleft group la wanaume muda sio mrefu. Watakufirimba kinyeo muda sio mchache
πŸ˜πŸ•β€πŸ¦Ί
 
The more modern a girl, the less her value as a wife.

What does a man want?

Love, appreciation, children,and hot dinner after work made by his smiling wife.

Not someone who is tired from her own job, doesn't want kids, and can't cook.
 
Utoto raha sana.
Ana utoto gani huyo..below 23 means atakua ni 22 bila shaka.Umri huo tayari wengine tuko chuo na tumezaa na kulea..at 25 nafunga ndoa rasmi na kuanza maisha nikiwa kama faza house mke na watoto wananitegemea HALAF YEYE AJIONE MTOTO katika age hiyo ya almost mid 20's!!!!!???not true at all..Huyu anajitia kichwa ngumu tu ila hana utot wowote
 
Kama hutaki wanawake Basi utataka wanaume
Jinga kabisa wewe
 
Wewe ni hovyo sana, hakuna furaha, raha na amani bila mwanamke

Binafsi siwezi ishi sehemu ambayo hakuna wanawake, raha na furaha yangu ni mwanamke in this world.

Situmii kilevi aina yoyote, kilevi changu ni mwanamke, bila uwepo wa mwanamke sina amani, raha na furaha
 
hahahah watu wanabweka tuu hawajui chalii kapigwa kibuti hahaha atatulia tuu ndo kukua
Wengine sijui wakoje, mimi sijawai kuumizwa na mwanamke, wala kulia katika mapenzi, hakuna raha kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi

Nakuwa sana na huruma kwa mwanamke wangu, siwezi kumkosea au kumsema vibaya mtu ambaye hajanikosea, kuna mwanamke aliwahi kunitelekeza Arusha stendi 2015

Tena sikuumia nilirudi zangu tu Moshi, baadaye alikuja kukwama Mwanza 2021 akitokea Maswa-Simiyu, but nilimpa hifadhi kwangu na nauli juu ya kumfikisha Musoma alikokuwa anaenda

Siweki wala siumizwi na mwanamke ukinipenda nitakupenda, ukijifanya na mimi nakuangalia tu, ila hakika siwezi ishi bila mwanamke nawapenda sana wanawake, nafurahia uwepo wenu hongerani sana
 
Wakae mbali na wanawake ili wapige puchu au unawatakia nini wanaume wenzio? 071...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Au Kukaa mbali na wanawake kivipi? Mkae mbali na mama au madada zenu au ni aje?
Nyeto ya mlenda vuguvugu inatosha kama replacement ya mbususu za wanawake
 
Mkuu,utoto unaweza kua kwenye akili pia na sio umri tu.
 
Nyeto ya mlenda vuguvugu inatosha kama replacement ya mbususu za wanawake
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Pigeni tuu nyeto as replacement..
Muue izo strong muscles alaf cku itakapofika unahitaj kuonekana mtu wa maana kwenye jamii mambo yanaanza kugoma kusimamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au ndo ile 30 sec alaf basii.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kudadadeki ashindwe mwenyewe[emoji23]
 
Huwezi kumkwepa mwanamke, ukikua utaelewa tu. We bado ni chaliiii sana, utakuwa shoga kama utaona wanawake hawana umuhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…