Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Guys, hamna watu matapeli kama hawa. Kuna jamaa hapa kaliwa laki 8 alikuwa anatumia dawa hizo kwa miezi miwili sasa na hamna alichoambulia, na huenda dawa alizokunywa zikamletea shida badae.
Guys lizika na alichokupa Mungu ana makusudi yake. Hawa jamaa wanaangakia udhaifu wa watu wanatumia kama fursa. Siku wanawake wakisema hawataki matango utasikia dawa ya kupunguza na kukondesha mashine.