Ni kukosa akili tu ndo kunapelekea mtu kuamini mambo ya kizembe kama hayo.Guys, hamna watu matapeli kama hawa. Kuna jamaa hapa kaliwa laki 8 alikuwa anatumia dawa hizo kwa miezi miwili sasa na hamna alichoambulia, na huenda dawa alizokunywa zikamletea shida badae.
Guys lizika na alichokupa Mungu ana makusudi yake. Hawa jamaa wanaangakia udhaifu wa watu wanatumia kama fursa. Siku wanawake wakisema hawataki matango utasikia dawa ya kupunguza na kukondesha mashine.
Guys, hamna watu matapeli kama hawa. Kuna jamaa hapa kaliwa laki 8 alikuwa anatumia dawa hizo kwa miezi miwili sasa na hamna alichoambulia, na huenda dawa alizokunywa zikamletea shida badae.
Guys lizika na alichokupa Mungu ana makusudi yake. Hawa jamaa wanaangakia udhaifu wa watu wanatumia kama fursa. Siku wanawake wakisema hawataki matango utasikia dawa ya kupunguza na kukondesha mashine.
Sure sure. Binafs namshkuru Mungu upande huo sinaga unyonge .... Sijui nguvu za kiume sjui mashne .... Am good na nimerdhka na nguvu nlzonazoHapo kosa nilanani?.Usipotumia akili zako vizuri lazima uwe fursa kwa wengine.dawa zipo lakini sio watu wote wanaouza dawa nizakweli.Sasa akili kichwani kwako.ukiwa kichwa kichwa utageuka fursa za watu.