Ijuganyondo
Member
- Jan 13, 2011
- 62
- 1
Eti wanajf ni kweli kwamba ukioa mwanamke ambaye mna almost the same level of education hasa degree holder heshima eti inakuwa low? Why? Na kwanini wanawake wengi ambao graduates wanakimbiwa na wanaume?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja imeshajadiliwa sana na conclusion tuliyofikia ni kwamba heshima haiji wala kuondolewa na elimu!Yote ni tabia ya mtu!Case closed!Ukitaka kujua zaidi pekua mafaili ya nyuma utapata maelezo zaidi!