Wapenda mie ni mteja wa Equity Bank.
Chakushangaza toka Alhamisi ya Trh14 2013.Hakuna huduma ya kutoa pesa sio kwenye ATM Machine wala Kaunta adi leo hii.ukiuliza shida nini wanadai network haifanyi kazi.wanasingizia wameweka system mpya.Ila cha kushangaza ni kwamba pesa wanapokea na kuweka ila kutoa pesa kwa wateja hawatoi.Maneja kakimbia ofisi toka hiyo siku.
Swali je hawa nao ni wezi wa kibank wanakeja kuwaibia Watzania
Je mamlaka Husika mbona zimelikalia jamno hili kimya? Au adi Wananchi walizwe kama tumevo zoea?BOT wapo wapo?