Equity Bank to resume talks to acquire Zimbabwean lender BancABC, a wholly-owned subsidiary of Atlas Mara.

Haiondoi uhalali kwamba hisa zake ni 5%,wazungu wanamiliki equity kwa kuwa na hisa nyingi
bado yupo na tiny 5% mzungu anamiliki more than 75% na ndio mmiliki halali wa equity View attachment 1237194
Aisee, hivi huwa mnafunzwa nini shuleni? Kuna mtu amekuekea hii breakdown hapa chini, ya wamiliki. Yaani wewe ukiona jina 'holdings', 'investments' na 'employees' na bank acc. za StdChtd. hapo tayari unajua ni wazungu? Boss, ushamba utakuua! [emoji38]
 
Ukizijumlisha hizo share zao zinafika 75%?
Jombaa, achana na huyo kibwengo. Hata hiyo orodha ambayo amekuekea hapo ukiichambua vizuri utaona ni ya wamiliki wa hisa kutoka Kenya. Equity Employees, Britam, James Mwangi(single majority shareholder), Standard Chartered Nominees, n.k, n.k.
Minority shares unazifanya majority?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…