Culture De Town
Member
- Oct 15, 2020
- 10
- 7
Kwa anayefahamu Equivalent Qualifications Certificates ni nini?
Je, inautofauti gani na Transcript
NB Kwa aliyemaliza diploma
Je, inautofauti gani na Transcript
NB Kwa aliyemaliza diploma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe na D kuanzia nne unasoma certificate ya kozi yeyote kulingana na kozi uliyochaguwaKwa anayefahamu Equivalent Qualifications Certificates ni nini? Na
Je inautofauti gani na Transcript
NB kwa aliyemaliza diploma
Nimesha maliza diploma sasa kwenye fomu ya kujiunga na degree kuna kigezo kimeandikwa niwe na Equivalent Qualifications Certificates ndo nataka nijuwe ni niniUwe na D kuanzia nne unasoma certificate ya kozi yeyote kulingana na kozi uliyochaguwa
Wanapotangaza udahili hutoa vigezo vya kimasomo. Wewe unaweza usiwe na vigezo hivyo lakini una vyeti ambavyo unaona ni sawa na vigezo vilivyotangazwa. Hapo utakuwa na equivalent qualifications. Kwa mfano ordinary diploma gpa 3 au zaidi ni equivalent qualification ya advance principles point 4 na zaidi. Ukiwa na qualifications za nje zinaweza kuwa equivalent na hizo za chuo fulani.Kwa anayefahamu Equivalent Qualifications Certificates ni nini?
Je, inautofauti gani na Transcript
NB Kwa aliyemaliza diploma
Nafikiri hapa unawasilisha cheti, transcript na hiyo AVN number kutoka nacte. Kwa tcu diploma ni equivalent qualification, hata tcu admission guide iko moja special kwa diploma holders na wameandika kuwa ni equivalent qualification.Nimesha maliza diploma sasa kwenye fomu ya kujiunga na degree kuna kigezo kimeandikwa niwe na Equivalent Qualifications Certificates ndo nataka nijuwe ni nini