Wewe equivalent si una fani tayari.Waachie waliomaliza form six ambao hawana fani yoyote wakasome kwanza wao.Habari zenu wakuu,mi ni mmoja wa watu ambao jina langu sijaliona ktk majina yaliyotelewa na bodi,hivyo basi naomba kuuliza kwa yoyote mweny taarif juu ya mustakabali wa waliomba kupitia chuo moja kwa moja(yani equivalent)nimechaguliwa SUA kwa course ambayo ni priorty(Bsc agri econ and agribuc),hapa mawazo yananiumiz juu ya hatma yang y kuendelea kusoma.
Habari zenu wakuu,mi ni mmoja wa watu ambao jina langu sijaliona ktk majina yaliyotelewa na bodi,hivyo basi naomba kuuliza kwa yoyote mweny taarif juu ya mustakabali wa waliomba kupitia chuo moja kwa moja(yani equivalent)nimechaguliwa SUA kwa course ambayo ni priorty(Bsc agri econ and agribuc),hapa mawazo yananiumiz juu ya hatma yang y kuendelea kusoma.
fight uwezavyo uende chuo kaka, ktk vyuo ambavyo uwa hakuna longo longo ya mkopo ni sua, ukifight chuoni pale utapata kaka.
Kuna wadau wangu wa4 mwaka jana walikosa bt after majina ya registration kurudi bodi semister ya pili mwanzoni wakalamba ki2

kaka asante kwa usahuri mzuri,lkn bado najiuliza ntaanzaj kwend chuo wakt hat cha kuanzia sina,hii ni kutokana na kukaa for almost 2 yrs mtaani no job no tempo no support frm relative.yani nipo mi kama mi hapa nimejishikiza kwa msela angu tu lakin still naona nampa mzigo tu.!!