Na goli hilo alilofunga Nyoni ndio lililowachanganya na kuwatoa kwenye plan yao kupaki basi.Pressure ya ile penati kama huna natural confidence HUPATI!
Nasema hivi,Nyoni kwa Simba mitano tenaaa,au sio ndugu zanguni!?
No. Sub ya Ndemla kwa Ame, Bwalya akasogea mbele.Na goli hilo alilofunga Nyoni ndio lililowachanganya na kuwatoa kwenye plan yao kupaki basi.
Jamaa anaujua mpira.Alafu penati za lawama lazima apewe Nyoni! Hata Taifa Stars against Uganda Samata alimpelekea mpira Nyoni penati ya lawama [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi mwenyewe mkuu nilisema anakosa aisee,ilikuwa na presha sana kwa kweliPressure ya ile penati kama huna natural confidence HUPATI!
sub ya ndemla Kwa Yule Ame ......nlimpa heko mwalimu ......jamaa walianza kutumia mipira mirefu na kupiga cross nyingi Sana zakuingia kwenye 18 pale ...ili mkijichanganya tu .....goli..
Japo kuondoka Kwa ndemla pale ....palileta kidogo rapsha kabla timu haijatulia nakumbuka kuna mda kama Simba ilishambuliwa Sana dakika flan kabla timu haijatulia tena ...
team work nzuri Sana goal la 3 ...
onyango alipiga kazi Sana Yule mzee....
bwalya na chama nliwakubali Sana Jana..
Mickison jamaa hawatasahau alivyowasumbua Jana .....
huyu mugalu dah ...kaz ipo ..namuona mzito Sana aisee....
naunga mkono hoja....Bora simba impate chikwende,
Mugalu yeye anasubiri mipira ya kumalizia
Maana hata kutuliza mpira shida
Mugalu kwa Jana alikuwa na pressure kubwa ya mchezo hivo akatoka mchezoni, yani hadi uone sven amemuweka bench bocco akaanza na Mugalu ujue Mugalu alimpa kile anachotaka katika mazoezi ila kuingia kwenye game jamaa akatoa kitu tofauti, inaonekana pressure ilianzia ndani ya team yani wachezaji hadi nje, itakuwa plan ya sven ilikuwa kuwatumia sana kapombe na zimbwe kupitia pembeni na kumwaga cross kwa Mugalu ila Mugalu akatoka mchezoni na plan kufeli hadi pale alipomtoa ndemla na kumweka Ame na Laly kusogea juu,Bora simba impate chikwende,
Mugalu yeye anasubiri mipira ya kumalizia
Maana hata kutuliza mpira shida
Miquissone ni mchezaji ambaye hataki mizaha uwanjani. Wala kujalibu jaribu.Wakati jamaa wanabishana na refa kuhusu uhalali wa penalti, Miquissone alikuwa busy kumshawishi Nyoni akapige ile penalti.