Wakuu,
Hebu tuweke ushabiki pembeni, kuachwa Kichuya, Ajibu unaweza usihoji sana lakini kwa Erasto Nyoni hapana aisee... Erasto Nyoni ndio nguzo ya Simba kwa muda mrefu ambayo ndio mabingwa nchi unawezaje kumuacha?
Hapana mkuu. Erasto Nyoni ni level nyingine kwasasa hapa nchini. Ndio nguzo ya Simba ambao ndio mabingwa wa nchi. Yupo kwenye first eleven kwa muda mrefu. Kwanini wamuache? Watupe sababu ili tujue kama walifanya utafiti wa kina.Watanzania kazini aka kamati za roho mbaya!angechukuliwa Nyoni na kuachwa huyo Kapombe mngehoji hivi hivi
Hivi ushamwangalia Kapombe wewe?Sijui kwann kamuacha Erasto Lakini kusema "angemuacha hata Kapombe" na utovu mkubwa wa adabu.Kocha mwenyw kipindi aliwa2mua alijuta kumkosa Pombe kwenye Game.Ila huyu kocha anajifanya Jeuri sana.Hawajui Waingereza vizuriWakuu,
Hebu tuweke ushabiki pembeni, kuachwa Kichuya, Ajibu unaweza usihoji sana lakini kwa Erasto Nyoni hapana aisee.
Hata ingekuwa Brazil au nchi yoyote iliyopiga hatua kimpira kuna wachezaji ukiwaacha lazima upate msukosuko. Erasto Nyoni ndio nguzo ya Simba kwa muda mrefu ambayo ndio mabingwa nchi unawezaje kumuacha?
Waandishi wamuulizeni kocha mkuu atupe sababu za msingi. Hii ni timu ya taifa na uteuzi wa wachezaji unahitaji mawazo mapana hasa ukizingatia ugeni wa kocha mkuu.
Watueleze vigezo vipi vimemuengua Erasto Nyoni ili tukubaliane nao. Bora wasingemuita hata Kapombe lakini si fundi Erasto Nyoni.
Hakuna mlinzi wa kumfananisha na Erasto Nyoni fundi ....kwanza anaweza kucheza namba yoyote tena kwa ufanisi. Amecheza kikosi cha kwanza kipindi chote akiwa Azam hadi Simba.Hivi ushamwangalia Kapombe wewe?Sijui kwann kamuacha Erasto Lakini kusema "angemuacha hata Kapombe" na utovu mkubwa wa adabu.Kocha mwenyw kipindi aliwa2mua alijuta kumkosa Pombe kwenye Game.Ila huyu kocha anajifanya Jeuri sana.Hawajui Waingereza vizuri
Erasto ni mchezaji mzuri ila kwa Agrey, Yondani na Abdi banda inakua ngumu kumwita, maana huto mtumia.Wakuu,
Hebu tuweke ushabiki pembeni, kuachwa Kichuya, Ajibu unaweza usihoji sana lakini kwa Erasto Nyoni hapana aisee.
Hata ingekuwa Brazil au nchi yoyote iliyopiga hatua kimpira kuna wachezaji ukiwaacha lazima upate msukosuko. Erasto Nyoni ndio nguzo ya Simba kwa muda mrefu ambayo ndio mabingwa nchi unawezaje kumuacha?
Waandishi wamuulizeni kocha mkuu atupe sababu za msingi. Hii ni timu ya taifa na uteuzi wa wachezaji unahitaji mawazo mapana hasa ukizingatia ugeni wa kocha mkuu.
Watueleze vigezo vipi vimemuengua Erasto Nyoni ili tukubaliane nao. Bora wasingemuita hata Kapombe lakini si fundi Erasto Nyoni.
Alifungishwa tela na yule forward wa AFC Leopard, Ndio maana kaachwa!!!Hapana mkuu. Erasto Nyoni ni level nyingine kwasasa hapa nchini. Ndio nguzo ya Simba ambao ndio mabingwa wa nchi. Yupo kwenye first eleven kwa muda mrefu. Kwanini wamuache? Watupe sababu ili tujue kama walifanya utafiti wa kina.