Erasto Nyoni out Taifa Stars!! Kwanini??

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Hebu tuweke ushabiki pembeni, kuachwa Kichuya, Ajibu unaweza usihoji sana lakini kwa Erasto Nyoni hapana aisee.

Hata ingekuwa Brazil au nchi yoyote iliyopiga hatua kimpira kuna wachezaji ukiwaacha lazima upate msukosuko. Erasto Nyoni ndio nguzo ya Simba kwa muda mrefu ambayo ndio mabingwa nchi unawezaje kumuacha?

Waandishi wamuulizeni kocha mkuu atupe sababu za msingi. Hii ni timu ya taifa na uteuzi wa wachezaji unahitaji mawazo mapana hasa ukizingatia ugeni wa kocha mkuu.

Watueleze vigezo vipi vimemuengua Erasto Nyoni ili tukubaliane nao. Bora wasingemuita hata Kapombe lakini si fundi Erasto Nyoni.
 
Wakuu,

Hebu tuweke ushabiki pembeni, kuachwa Kichuya, Ajibu unaweza usihoji sana lakini kwa Erasto Nyoni hapana aisee... Erasto Nyoni ndio nguzo ya Simba kwa muda mrefu ambayo ndio mabingwa nchi unawezaje kumuacha?

Hapa tu ndo umeharibu
 
Watanzania kazini aka kamati za roho mbaya!angechukuliwa Nyoni na kuachwa huyo Kapombe mngehoji hivi hivi
Hapana mkuu. Erasto Nyoni ni level nyingine kwasasa hapa nchini. Ndio nguzo ya Simba ambao ndio mabingwa wa nchi. Yupo kwenye first eleven kwa muda mrefu. Kwanini wamuache? Watupe sababu ili tujue kama walifanya utafiti wa kina.
 
Wakuu,

Hebu tuweke ushabiki pembeni, kuachwa Kichuya, Ajibu unaweza usihoji sana lakini kwa Erasto Nyoni hapana aisee.

Hata ingekuwa Brazil au nchi yoyote iliyopiga hatua kimpira kuna wachezaji ukiwaacha lazima upate msukosuko. Erasto Nyoni ndio nguzo ya Simba kwa muda mrefu ambayo ndio mabingwa nchi unawezaje kumuacha?

Waandishi wamuulizeni kocha mkuu atupe sababu za msingi. Hii ni timu ya taifa na uteuzi wa wachezaji unahitaji mawazo mapana hasa ukizingatia ugeni wa kocha mkuu.

Watueleze vigezo vipi vimemuengua Erasto Nyoni ili tukubaliane nao. Bora wasingemuita hata Kapombe lakini si fundi Erasto Nyoni.
Hivi ushamwangalia Kapombe wewe?Sijui kwann kamuacha Erasto Lakini kusema "angemuacha hata Kapombe" na utovu mkubwa wa adabu.Kocha mwenyw kipindi aliwa2mua alijuta kumkosa Pombe kwenye Game.Ila huyu kocha anajifanya Jeuri sana.Hawajui Waingereza vizuri
 
Hakuna mlinzi wa kumfananisha na Erasto Nyoni fundi ....kwanza anaweza kucheza namba yoyote tena kwa ufanisi. Amecheza kikosi cha kwanza kipindi chote akiwa Azam hadi Simba.

Huyu kocha simuelewi hapa kabisa ...
 
Wachezaji wako wengi tu, mwavheni kocha msimuingize kwenye siasa
 
Amunike nae kawa mswahili

Ngoja apigwe gemu moja akili imkae sawa
 
Wakuu,

Hebu tuweke ushabiki pembeni, kuachwa Kichuya, Ajibu unaweza usihoji sana lakini kwa Erasto Nyoni hapana aisee.

Hata ingekuwa Brazil au nchi yoyote iliyopiga hatua kimpira kuna wachezaji ukiwaacha lazima upate msukosuko. Erasto Nyoni ndio nguzo ya Simba kwa muda mrefu ambayo ndio mabingwa nchi unawezaje kumuacha?

Waandishi wamuulizeni kocha mkuu atupe sababu za msingi. Hii ni timu ya taifa na uteuzi wa wachezaji unahitaji mawazo mapana hasa ukizingatia ugeni wa kocha mkuu.

Watueleze vigezo vipi vimemuengua Erasto Nyoni ili tukubaliane nao. Bora wasingemuita hata Kapombe lakini si fundi Erasto Nyoni.
Erasto ni mchezaji mzuri ila kwa Agrey, Yondani na Abdi banda inakua ngumu kumwita, maana huto mtumia.
 
Kwa kwel Mimi ni mwanasoka nimejiuliza sana why kawachaa ajibu na nyoni kichuya kocha yupo sawa hana Moira mzur kwa hizi mechi zilizopita ila Nyoni na Ajibu not fair cjaona umuhimu Wa kumwita Dante
Haya ni maoni yangu tu ila yote kwa yote tumuachie kocha
 
Hapana mkuu. Erasto Nyoni ni level nyingine kwasasa hapa nchini. Ndio nguzo ya Simba ambao ndio mabingwa wa nchi. Yupo kwenye first eleven kwa muda mrefu. Kwanini wamuache? Watupe sababu ili tujue kama walifanya utafiti wa kina.
Alifungishwa tela na yule forward wa AFC Leopard, Ndio maana kaachwa!!!
 
Kwa forward line ya cape verde.. Sijaona beki ya kuizuia.. Labda kapombe. Taifa Stars inaenda kugongwa nyingi.
 
Back
Top Bottom