Erdogan aweka masharti kwa Finland na Sweden kujiunga na NATO

Erdogan aweka masharti kwa Finland na Sweden kujiunga na NATO

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
13,265
Reaction score
4,735
Sharti kuu alilpweka ni kwa nchi hizi mbili kuungana na Turkey katika kupambana na ugaidi.

Mathalani, Erdogani anasema kuwa Sweden inahifadhi wapaiganaji wengi wa ki Kurdi pamoja na wafuasi wa Fethullah Gulen, ambaye anatuhumiwa kufanya jaribio la kuipunduka serikali ya Instanbul

FUATILIA HAPA CHINI

========

President Recep Tayyip Erdogan on Saturday said Turkey would not look "positively" on Sweden and Finland's NATO bids unless its terror-related concerns were addressed, despite broad support from other allies including the United States.

Turkey has long accused Nordic countries, in particular Sweden which has a strong Turkish immigrant community, of harbouring outlawed Kurdish militants as well as supporters of Fethullah Gulen, the US-based preacher wanted over the failed 2016 coup.

Erdogan's threat throws a major potential obstacle in the way of membership for the hitherto militarily non-aligned Nordic nations since a consensus is required in NATO decisions.

"Unless Sweden and Finland clearly show that they will stand in solidarity with Turkey on fundamental issues, especially in the fight against terrorism, we will not approach these countries' NATO membership positively," Erdogan told NATO chief Jens Stoltenberg in a phone call, according to the presidency.
On Twitter, Stoltenberg said he spoke with Erdogan "of our valued ally" on the importance of "NATO's open door".

"We agree that the security concerns of all allies must be taken into account and talks need to continue to find a solution," he said.

On Thursday, Stoltenberg said Turkey's "concerns" were being addressed to find "an agreement on how to move forward".
 
Erdogan ni raisi anayejiamini sana na akiwa na msimamo hamuogopi hata Amerika na Mrusi. Pamoja na hivyo si mtu wa kuaminika hata kidogo. Huko mbeleni huwa analainika na kuachia msimamo wake tofauti na watu kama Korea kaskazini na Iran.

Baada ya Saudia kumchinga mtu nchini mwake na yeye kuonekana kuchukizwa sana hasa kwamba mtu huyo alikuwa mchumba wa raia wake.

Sikutarajia kwamba iko siku atakumbatiana na mwana mfalme wa Saudia kiongozi anayeonekana kuwa katili sana na anayeidharau dini yake ambayo ndiyo dini ya mabilioni ya watu Ulimwenguni.Hivyo ndivyo alivyofanya hivi majuzi.

1653294809736.png
 
Huyu Erdogan aache unafiki kwani serikali ya Turkey sio ya kidemokrasia kihivyo kiasi cha kutokupingwa na mtu au kikundi chochote.

Mbona huyo Gulen yuko Marekani sasa ameshaifanya nini Marekani, kama anaogopa kupingwa ajiuzulu urais au aweke utawala wa kidemokrasia.

Hajiulizi hao watu wanaompinga ni kwa nini wasiende uarabuni kwa nini waende Ulaya na Marekani ni kwa sababu huko ndiko kuna serikali zinazojali haki tofauti na ya kwake.
 
Ninachojua hizi ni kelele tu mwisho wa siku Finland na Sweden zitakuwa wanachama wa NATO.Tutarudi hapa kujadili baada ya wao kupata uanachama
 
Ninachojua hizi ni kelele tu mwisho wa siku Finland na Sweden zitakuwa wanachama wa NATO.Tutarudi hapa kujadili baada ya wao kupata uanachama
Infact, kwa vurugu nazofanya Putin, nchi hizi zime-speed up juhudi za kujiunga na Nato na Fin ameshaahidi kuruhusu USA asogeze makombora . Sidhani kama watamungunya maneno kwa kuwa Rusia amefanya ukiukwaji wa hali ya juu wa hazi na ustawi wa mwanadamu kwa kusha,mbulia asiye na uwezo wa kukujibu
 
Erdogan ni raisi anayejiamini sana na akiwa na msimamo hamuogopi hata Amerika na Mrusi. Pamoja na hivyo si mtu wa kuaminika hata kidogo. Huko mbeleni huwa analainika na kuachia msimamo wake tofauti na watu kama Korea kaskazini na Iran.

Baada ya Saudia kumchinga mtu nchini mwake na yeye kuonekana kuchukizwa sana hasa kwamba mtu huyo alikuwa mchumba wa raia wake.

Sikutarajia kwamba iko siku atakumbatiana na mwana mfalme wa Saudia kiongozi anayeonekana kuwa katili sana na anayeidharau dini yake ambayo ndiyo dini ya mabilioni ya watu Ulimwenguni.Hivyo ndivyo alivyofanya hivi majuzi.

View attachment 2235308
Angalia body language hasa uso utajua bado shida iko ni vile hana namna.
 
Back
Top Bottom