Okoth p'Bitek
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,124
- 1,384
Thinking being, hebu jiheshimu, be noble
Ni vipi unaweza kujifikiri na ukawa yule unayefikiri kuwa?!
Nafikiri mimi ni mtu wa watu, mcheshi, sina makuu, sifa zote za kikristo nipe mimi niliye ndani ya huu mwili, na ninakuwa ninachofikiri kuwa, is it even necessary for the subject to exercise power over body,
Swali ni je? ninafikiri kama mimi au kama aristotle, plato, luke, mathew, isaiah,
Ninafikiri kwa sheria zangu, na ni mamlaka ya nani kuniwekea sheria juu ya kufikiri,