Eric Baily arudi kijijini kwao Guiglo kutibu majeraha

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Beki wa Manchester United Eric Baily na Ivory Coast ameamua kurudi kijijini kwao Guiglo Mara baada ya majeraha kumuandama Mara kwa Mara na kwenda kujitibu huko.
Baily ama miaka mingi hajarudi kijijini huko tangu alipofanikiwa kuwa mchezaji wa kimataifa na maarufu
 
Kaenda kuaguliwa na wazee wa mila πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…