Half Genious
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 491
- 784
Labda lugha iliwashinda lakini aliyekuwa commedian wa ukweli pale ni TEACHER MAPAMIRE TUUSure,pilipili alimfunika sana jamaa na wengine wote, hakustahili kuwa show stopper kabisa
Labda lugha iliwashinda lakini aliyekuwa commedian wa ukweli pale ni TEACHER MAPAMIRE TUU
Hata mimi nilimpenda sana.Labda lugha iliwashinda lakini aliyekuwa commedian wa ukweli pale ni TEACHER MAPAMIRE TUU
Pili pili huyu huyu ambaue juzi watu wamemshauri aachane na comedy au unamzungumzia pilipili yupi?Mpamire yeah ila nae hadithi zilizidi kidogo kuna muda alikua anawaacha watu bila kucheka....pili pili kila sentensi anaangusha nondo
Mzee hata mimi nilishangaa jamaa ametokea wapi na creativity ya kutosha.....yani alikua anashusha vitu kama russel peters hivi au jasper murumePili pili huyu huyu ambaue juzi watu wamemshauri aachane na comedy au unamzungumzia pilipili yupi?
Duh we jamaa ayeiyaa si amekufa juzi tuu hapa kwa ajali....Kuna kichwa kinaitwa Ayeya, bahati mbaya nilisoma mtandaoni kua bangi zimemuwehusha na sijui imekuaje tena.
Kuna kichwa kinaitwa Ayeya, bahati mbaya nilisoma mtandaoni kua bangi zimemuwehusha na sijui imekuaje tena.
Dah basi nipo nyuma sana.Duh we jamaa ayeiyaa si amekufa juzi tuu hapa kwa ajali....
KENYA BORA WANGEMLETA TEACHER WANJIRU
Huyo huyo,nadhan alisoma ile thread akaona acha nifanye kazi sasaPili pili huyu huyu ambaue juzi watu wamemshauri aachane na comedy au unamzungumzia pilipili yupi?
Pilipili ni fundiSure,pilipili alimfunika sana jamaa na wengine wote, hakustahili kuwa show stopper kabisa
Yaani pilipili hadi kanichekesha mieMpamire yeah ila nae hadithi zilizidi kidogo kuna muda alikua anawaacha watu bila kucheka....pili pili kila sentensi anaangusha nondo