ERIC OMONDI aachia remix ya Je utanipenda ya Diamond

ERIC OMONDI aachia remix ya Je utanipenda ya Diamond

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Hatimaye mchekeshaji maarufu Africa mashariki Eric Omondi ameachia Video yake alio ifanyia remix nyimbo ya Diamondplatnumz kaimba kwa dakika mbili na sekunde kama 39 hivi lakini nimependa angeendelea hivi sababu ile beat haichoshi masikioni

Katika hio nyimbo Eric kabadilisha kutoka Je Utanipenda na Kuwa Je Utanipea? akimanisha kuwa Je demu wake atampa? ukienda youtube kuangalia utaelewa nini Erick anamanisha

Ikumbukwe kuwa Erick alisha fanya remix nyimbo ya nasema nawe ya Diamond na kuwa nabeba mawe! ikasikika sana

Kaifanyia remix ROYAL ya Chris Brown Nakutolea Vedio Jamaa inaonesha hizi remix zinamuingizia Sana mtonyo kama hafanyi for Funny

Lile tangazo la Dr.Mwaka kabadirisha kaimba kivyake hakika nimependa kweli jamaa ni mchekeshaji .Hii hapa 👇👇

https://youtu.be/s5-gsLmoRgU

ROYAL ya chris Brown hii hapa 👇👇👇

https://youtu.be/XOtegPcXz9Y
 
Uwiiiiii hebu ngoja nikaucheju maana nabeba mawe nilicheka sana,nitaleta mrejesho.
 
Hahahahaaa duuuuh!Jamaa na mwili wake mbavu sina.
 
Kipande cha tangazo kimeniacha hoi eti tatizo la viazi ha ha
 
Huyu Eric anachekeshaga sana mie penda utungaji wake.
 
Back
Top Bottom