Eric Omondi afungwa Jela kwa Kuandamana dhidi ya Serikali ya Ruto

Eric Omondi afungwa Jela kwa Kuandamana dhidi ya Serikali ya Ruto

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1694783756497.png

Mahakama Nchini humo imetoa hukumu hiyo dhidi ya Mchekeshaji huyo na raia wengine 15 baada ya kuwakuta na hatia ya kufanya mikusanyiko kinyume na Sheria

Licha ya Mahakama kutoa kukata Rufaa pamoja na chaguo la kulipa Faini ya Tsh. 25,049,995 kwa kila Mshtakiwa, Eric Omondi amesema atatumikia Kifungo hicho Jela

Akiongea baada ya Hukumu, amesema "Nimehukumiwa kwenda Jela kwa Mwezi Mmoja pamoja na hawa Vijana kwasababu tulisimama kutetea Hali Ngumu za Wananchi na Gharama Kubwa za Maisha. Nitakaa Jela lakini naamini Kesho itakuwa Bora zaidi".

--
Renowned comedian Erick Omondi was on Friday sentenced to one month in prison or a fine of Ksh.10,000 for holding an unlawful assembly.

The ruling was made by Magistrate Lukas Onyina, who found Omondi and his co-accused persons guilty of not having the requisite permissions for their assembly at Parliament premises.

They argued that their intentions were rooted in the concern for the high cost of living that has been a growing issue in the country.

Reacting to the verdict, Omondi took to social networking site Instagram to write: "So today the courts have sentenced me and these young guys to one month in prison. We have been sentenced for fighting the high cost of living.

It is also weird that the government increased fuel prices yesterday and these weirdly coincided with our court date, which is for the same fight we have been sentenced. I am ready to serve that one month...I know tomorrow we will be victorious.”

Source: Citizen Digital
 
Eeh Mola mfanyue wepesi.

Wasanii wa bongo bila uchawa hawali. Yaani usanii unawatumia.
Hiyo ndo tofauri ya Tz na Africa nyingine tunaamini katika uchawa, Huu ni ubinafs.
 
Duh,Bora wao vifungo ni vifupi.
Ingekuwa kuleeeeee[emoji1241] angelimwa miaka ambayo hajawahi sikia na hawezi ifikisha kuishi maisha yake yote.
Omba usikutane na mtoa hukumu anaetaka sifa kwa wanaccmcfc.com
Kwanini amefungwa wakati katiba ya Kenya inatoa haki na uhuru wa kujieleza?
 
Eric Omond sio keyboard warrior kama sisi huwa anafanya utoto utoto lakini kwenye ishu ya kupigania wananchi anakuwa mwingine
Anampigania Raila Odinga, Mjaluo mwenzake
Njia wanayotumia ni kufanya vurugu ili Serikali impe Odinga cheo kwenye serikali ndio watulie, kama ilivyokuwa enzi za Uhuru
 
huyu alipaswa kurushiwa mvua ya miaka hadi glass ioze ndio atoke
 
Wakwetu wanajikomba Sana[emoji176]

Mpaka unajiuliza ni me or ke[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Punguzeni unafiki, juzi Ney alipoitwa polisi na kufunguliwa kesi ya uchochezi, mlisema Tanzania hakuna uhuru wa kujieleza, huyu amehukumiwa kufungwa kwasababu hizo hizo, badala ya kusema Kenya hakuna uhuru, bado mnalalamikia watanzania
 
Mh!,pole sana.kinachofanyika Kenya na huku vitu viwili tofauti
Kenya hata Kama katiwa hatiani hawatufikii huku bwashee.
Bora Kenya kuliko huku.
Inshu ya mwamba Ney ni aibu kwa Serikali.
Kenya wanafata sheria,ndo maana alipelekwa mahakamani na kesi inasikirizwa na inaisha,huku lini kesi ziliisha zaidi ya siasa maji taka mliyonayo.
 
Kuna kale kapumbafu stunted,steve rambirambi ndio ka hovyo kabisa. I wish ningekua sniper
 
Mh!,pole sana.kinachofanyika Kenya na huku vitu viwili tofauti
Kenya hata Kama katiwa hatiani hawatufikii huku bwashee.
Bora Kenya kuliko huku.
Inshu ya mwamba Ney ni aibu kwa Serikali.
Kenya wanafata sheria,ndo maana alipelekwa mahakamani na kesi inasikirizwa na inaisha,huku lini kesi ziliisha zaidi ya siasa maji taka mliyonayo.
Huo ndio unafiki wenu, Tundu Lisu alifunguliwa kesi zaidi ya 9 za uchochezi na alishinda kesi 7 na mbili serikali ikazifuta, wabunge wa CHADEMA akiwemo Msigwa, Mbowe na Mnyika walifunguliwa Kesi na wakapigwa faini, wananchi tukawachangia wakatoka gerezani.

Wewe ni miongoni mwa wanafiki kupenda kuichafua nchi yako kwa Kila jambo. Kilichofanyika Kenya ni ukiukwaji mkubwa wa haki za kujieleza.

Kenya wanajisifu kuwa na katiba mpya na Bora, hiyo ndio katiba mpya inavyosema?. Hili lingetokea Tanzania mngesema kwasababu hatuna katiba mpya, hovyo Sana ninyi .
 
Anampigania Raila Odinga, Mjaluo mwenzake
Njia wanayotumia ni kufanya vurugu ili Serikali impe Odinga cheo kwenye serikali ndio watulie, kama ilivyokuwa enzi za Uhuru

Watz wakiona mtu ana pinga serikali bhc wao wanamuona ndio mwamba ndio mkombozi cjui hu ujinga tumetoa wapi
 
Back
Top Bottom