Yupo sahihi na hata hapa kwetu inatakiwaMchekeshaji na mwanaharakati Eric Omondi amekamatwa na polisi katika eneo la Nairobi CBD alipokuwa akikusanya saini kuunga mkono mpango wake wa “Punguza Mzigo” wa kutaka mabadiliko ya mfumo wa utawala nchini.
Omondi alikamatwa Jumatatu asubuhi na maafisa wa polisi waliokuwa wamevalia kiraia. Maafisa hao walimfunga pingu na kumuingiza katika gari la polisi. Sababu rasmi ya kukamatwa kwake haikutolewa mara moja, ingawa maafisa wengine walidai alikuwa akifanya mkutano bila kutoa taarifa kwa mamlaka.
Kampeni hiyo inalenga kukusanya saini milioni moja ili kushinikiza mabadiliko ya kikatiba, yakiwemo kupunguza kaunti 47 hadi maeneo makubwa manane, pamoja na kupunguza idadi ya wabunge na MCAs.
Omondi anasema hatua hiyo inaweza kupunguza gharama za uendeshaji wa serikali na kuelekeza fedha zaidi kwenye huduma muhimu, ikiwemo elimu.
Kampeni hiyo inafufua mjadala kuhusu gharama ya uendeshaji wa serikali na muundo wa ugatuzi nchini Kenya.
Source: Thestar.co.ke
badala ya kupanua eneo la kuitawala na kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi, eti mtu unapambana kucentralize mamlaka na kupambana kufanya huduma ziwe mbali zaidi na wananchi.View attachment 3665173
Mchekeshaji na mwanaharakati Eric Omondi amekamatwa na polisi katika eneo la Nairobi CBD alipokuwa akikusanya saini kuunga mkono mpango wake wa “Punguza Mzigo” wa kutaka mabadiliko ya mfumo wa utawala nchini.
Omondi alikamatwa Jumatatu asubuhi na maafisa wa polisi waliokuwa wamevalia kiraia. Maafisa hao walimfunga pingu na kumuingiza katika gari la polisi. Sababu rasmi ya kukamatwa kwake haikutolewa mara moja, ingawa maafisa wengine walidai alikuwa akifanya mkutano bila kutoa taarifa kwa mamlaka.
Kampeni hiyo inalenga kukusanya saini milioni moja ili kushinikiza mabadiliko ya kikatiba, yakiwemo kupunguza kaunti 47 hadi maeneo makubwa manane, pamoja na kupunguza idadi ya wabunge na MCAs.
Omondi anasema hatua hiyo inaweza kupunguza gharama za uendeshaji wa serikali na kuelekeza fedha zaidi kwenye huduma muhimu, ikiwemo elimu.
Kampeni hiyo inafufua mjadala kuhusu gharama ya uendeshaji wa serikali na muundo wa ugatuzi nchini Kenya.
Source: Thestar.co.ke
Eti unapanuaje eneo la kuitawala? Idea yako kuwa huduma ziletwe karibu na wananchi ni nzuri sana nasi watanganyika tuongezewe majimbo ya uchaguzi tuwe na wabunge kama Zanzibar ili huduma ziwe karibu zaidi kwa wananchi. Tupiganie hili jambo.badala ya kupanua eneo la kuitawala na kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi, eti mtu unapambana kucentralize mamlaka na kupambana kufanya huduma ziwe mbali zaidi na wananchi.
huyo omond ni useless kabisa 🐒
Yes,Eti unapanuaje eneo la kuitawala? Idea yako kuwa huduma ziletwe karibu na wananchi ni nzuri sana nasi watanganyika tuongezewe majimbo ya uchaguzi tuwe na wabunge kama Zanzibar ili huduma ziwe karibu zaidi kwa wananchi. Tupiganie hili jambo.
Nonsense.Yes,
majimbo lazima yaongezwe,
ili hatiamae huduma na viongozi kua karibu zaidi na wananchi
ok.Nonsense.