Eric Omondi apigwa na Polisi baada ya kuongoza maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha

Eric Omondi apigwa na Polisi baada ya kuongoza maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617




MY TAKE; Hii ndiyo nchi inayosema kuna uhuru wa kujieleza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijaona popote Eric amepigwa, zaidi Alisongwa songwa na kisha akapakiwa kwenye gari la polisi.
 
Hili wasipoli-handle vizuri, linaweza kuwaletea shida kubwa kuliko wanavyotarajia. Kiasili, binadamu wana kiwango cha uvumilivu ambacho huwa kinafikia ukomo. Namaanisha, huwa inafikia hatua raia wanaona liwalo na liwe; heri kufa kuliko kuishi! Ni hatari kubwa sana kupambana na watu ambao tayari walishajidhila!
 
Back
Top Bottom