Eric Omondi how to be......(collection)..

How to be a magufuli ikwapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakumbuka wakata Eric Omondi ameanza hii ''How to be...'' alianza na Diamond ili kuvutia watazamaji. Unajua kwanini? Kwasababu Diamond ana nguvu sana hapa Afrika kwa wasanii, lazima mtu amzungumzie ili apate kuonekana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka how to be Magufuli alivyopanda baiskeli.
Huyu jamaa chenga sana.
 
Ila ya magufuli hakuipatia vizuri.....


Ya diamond iko byeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…