uyo jamaaa nyerere hampendi chibu,hajawai msifia ata siku mojaimepangwa hii,wana show ya pamoja karibuni huko kenya,hakuna alichopnda zaidi ya kumuongezea umaarufu.
maana halisi ya superstar.
mkuu hajamponda hapo kaeleza sifa za haraka za kumtambua chibu ambazo ni tofaut na wengne ukisema amtaje kwa mafankio kuna wasanii wengne east afrca n africa washapata,eric n chibu ni marafik mnooooo,eric kafanya cover za nyimbo za chibu kama 3, na wanashow soonKilichotumika hapo ni fasihi bezo fasihi kebehi
Hakuonyesha mafanikio ya Diamond bali kaonyesha vitu visivyo na maana kabisa
Huyu hawezi kumsifu na kumsifia diamond hata mara moja kwasababu za wazi kabisa
mkuu hajamponda hapo kaeleza sifa za haraka za kumtambua chibu ambazo ni tofaut na wengne ukisema amtaje kwa mafankio kuna wasanii wengne east afrca n africa washapata, eric n chibu ni marafik mnooooo, eric kafanya cover za nyimbo za chibu kama 3, na wanashow soon
Yeah mkuu hii ni some sort of comedy ndio maana at the end anasema fans wake wachague amchambue nani nextAny comedian angefanya hivyo...haina tatizo....hata diamond hatapanick akiiona.
Kutembea na Crew inakua TATIZO piah..!?haaaaaa nimecheka hatari
ila Diamond ana la kujifunza hasa mambo ya kutembea na crew nzima
Jamaa anampenda sana Diamond...
Hawa waarabu wa pemba wanajuana! Usikute hata bado hiyo clip haijaruka kwa TV tayari alishamtumia De wakacheeeeka.. HahahahAmemsifu au anamponda?
Kisebusebu na kiroho papoHuyu hawezagi kuchekesha bila kumtaja Diamond?
Hapana bhana mshana jr! Kwanza theme ya video sio kuonesha mafanikio ya Diamaond au kumsifia bali how to be Diamond! Vilevile tusisahau haters wa Diamond wana visababu vyao vya kuonesha Diamond is just a trash! Hivi visababu kila siku vinabadailika! Kwa mfano, kwa haters wa Diamond, ni kama Chibu hatakiwi kuwa na demu lakini akiwa na demu tu; tayari utasikia Diamond anatafuta kiki kwa mademu!! 99.9% ya wana Bongo Flavor wanatumia playback lakini siku zote anayepondwa kutumia playback ni Diamond! Na usishangae ukakuta hao wanaoponda playback ya Diamond nao ni die hard fans wa mwanamuziki anayetumia playback! Sasa assume ingekuwa kuna scene, Eric Omond as Diamond anapanda jukwaani na anakuta vifaa for live performance! Ile kuona issue ni live, anaanza kudata na kuagiza awekewe CD for playback! Hapo kweli ingekuwa moja kwa moja anamkejeli Diamond!Kilichotumika hapo ni fasihi bezo fasihi kebehi
Hakuonyesha mafanikio ya Diamond bali kaonyesha vitu visivyo na maana kabisa
Huyu hawezi kumsifu na kumsifia diamond hata mara moja kwasababu za wazi kabisa
Unajua Ne-Yo alivyokuja kwenye Jembeka Mwanza lililodhaminiwa na Vodacom la mwaka huu alikuja na crew ya watu wangapi?haaaaaa nimecheka hatari
ila Diamond ana la kujifunza hasa mambo ya kutembea na crew nzima