Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Maaaaaneeeeneeeer!! Nadhani ndo jibu wanaweza pata toka humo kwenye tembe
Mzee Kikwete aliposema "zilongwa mbali, zitendwa mbali!" Yanayosemwa tofauti na yatendwayo!!
Wacha upumbavu Atc haina route ya kenya.Kwa hili mnawaonea CCM, Huyu jamaa alikuja show ya cheka tu, inaoneakana alikuja na ndege nyingine, then ndo akapanda air tanzania. Angalieni page yake ya instagram
Mkuu wewe ndo mpumbavu, angalia video wakati anaondoka siyo ATCL, ila kashuka kwa ATCLWacha upumbavu Atc haina route ya kenya.
Hii ndege iliombewa kibali maalum kwenda Kenya.
Na abiria alikua mmoja tu.
Na alipewa hadhi ya kukaa vip
Sent using Jamii Forums mobile app