joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Hivi Sasa Kenya imefikia katika hali ngumu Sana ya kiuchumi na kisiasa, watu mbalimbali hutoa main mbalimbali. Naomba tujadili hii kauli ya Eric Omondi, Je yupo sahihi?
Wakenya tafadhalini wakati wa kujadili tumieni akili sio hisia zenu za ukabila.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app