Eric Omondi na waandamanaji wenzake waachiwa kwa dhamana

Eric Omondi na waandamanaji wenzake waachiwa kwa dhamana

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1677059311215.png

Mchekeshaji huyo maarufu alikamatwa Februari 21, 2023 nje ya maeneo ya Bunge akiwa na kundi la waandamanaji waliokuwa na mabango yenye jumbe za kuionesha Serikali kuwa Wananchi wana hali ngumu ya maisha.

Omondi na waandamanaji wengine 17 wameshtakiwa kwa makosa ya kukusanyika kinyume cha Sheria ambapo wamekana mashtaka na kuachiwa baada ya kukamilisha taratibu za dhamana ikiwa ni pamoja na kila mmoja kutakiwa kulipa Tsh. 185,193.

==============

Comedian Eric Omondi has been charged with taking part in an unlawful assembly on Parliament Road. Omondi was charged alongside 17 others and it was alleged that on February 21 at Parliament Road they took part in an unlawful assembly.

They denied the charge and were released on a Sh20,000 bond or an alternative cash bail of Sh10,000. Through their lawyer Danstan Omari, they had asked for lenient bail terms Omari said the charge sheet reads that they have been charged with taking part in an unlawful assembly

He told Chief Magistrate Lucas Onyina that all of them are content creators adding that Omondi is a Kenyan global brand “They went to parliament to get solution on the current high cost of living. I urge court to take judicial notice that 6 million Kenyans are at the verge of starving “ Omari said

He told court that the young men represented 55 million Kenyans at Parliament to tell MPs to do something about the issue. “The state has criminalized this national heroes fighting for them. They are irritants to the government,” he said.

He said the young men cannot afford food on their table so the court should grant them on personal bond or cash bail of 5,000. We are urging you to look at article 37 on the right to picket and 33 on the freedom of expression.

“Allow them to go home so that they can continue to entertain us on TV," Omari said. The prosecution did not oppose their release on bail. The case will be mentioned on March 6 for pre-trial.
 
Wasanii wa bongo wanatakiwa wachukue mfano huu sio wakati wa kampeni wanawakatia viuno madhalimu halafu kwenye tuzo BET wanarudi kwa wanyonge tuwapigie kura,mbwa sana hawa
Thubutu yaoo

Wao kutwa kuwaandalia watu matukio yao ,tukutane mlimani City sjui
Na kutengeneza kik zao watu wazifuatilie

Ova
 
Wasanii wa bongo wanatakiwa wachukue mfano huu sio wakati wa kampeni wanawakatia viuno madhalimu halafu kwenye tuzo BET wanarudi kwa wanyonge tuwapigie kura,mbwa sana hawa
Kila msanii anataka kuwa mbunge na mwanachama mtiifu ccm
images%20(71).jpg
images%20(70).jpg
images%20(69).jpg
download%20(2).jpg
 
Wasanii wa bongo wanatakiwa wachukue mfano huu sio wakati wa kampeni wanawakatia viuno madhalimu halafu kwenye tuzo BET wanarudi kwa wanyonge tuwapigie kura,mbwa sana hawa
Mbwa kabisa,hawawezi kufanya hivyo kamweee, na hiyo mikopo waliyopewa unafikiri watathubutu...!
 
Huku wasanii wameshapewa million 40 kama vifungashio kwa ajili ya mambo ya sanaa. Kikubwa waendelee kusifu na kuabudu
 
Back
Top Bottom