Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Jun 23, 2025 #1 Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shingongo amesema baada ya bunge kuvunja tarehe 27 June mwaka huu basi yeye tarehe 28 June, 2025 ataenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Buchosa kwa mara nyingine tena. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Amesema kuchukua fomu ni kwa sababu kazi aliyoianzisha bado ajaikamilisha. Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Jimbo la Buchosa Eric Shingongo amesema baada ya bunge kuvunja tarehe 27 June mwaka huu basi yeye tarehe 28 June, 2025 ataenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Buchosa kwa mara nyingine tena. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Amesema kuchukua fomu ni kwa sababu kazi aliyoianzisha bado ajaikamilisha. Your browser is not able to display this video.
The Coin Man JF-Expert Member Joined Jan 2, 2025 Posts 1,471 Reaction score 1,879 Jun 23, 2025 #2 No Reforms no Elections.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Jun 28, 2025 #4 kama Tale Tale ameweza hata huyu ataweza Attachments 1751127383473.png 3.3 MB · Views: 38
Ritual Senior Member Joined Jun 13, 2025 Posts 163 Reaction score 187 Jun 28, 2025 #5 Haya tukumesikia wanaBuchosa
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Jun 28, 2025 #6 Sky Eclat said: kama Tale Tale ameweza hata huyu ataweza Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sky Eclat said: kama Tale Tale ameweza hata huyu ataweza Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lipijema JF-Expert Member Joined Mar 8, 2015 Posts 953 Reaction score 1,540 Jun 28, 2025 #7 Huku Buchosa hakuna cha maana alichotufanyia, hususan kwenye makambi ya wavuvi. Tunasema: No Reforms no Elections.
Huku Buchosa hakuna cha maana alichotufanyia, hususan kwenye makambi ya wavuvi. Tunasema: No Reforms no Elections.