eric shigongo ahamasisha ushoga

eric shigongo ahamasisha ushoga

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mjasiriamali na mwandishi bora wa riwaya za kusisimua nchini Eric james shigongo kwa mara ya kwanza katoa riwaya ya kusisimua inayoitwa A SAINT AND A GHOST ambayo inahusisha maisha ya vijana na ushoga,aidha riwaya hiyo kali na ya kusisimua inaelezea jinsi kijana kelvin alivyojitumbukiza kwenye mchezo uo mchezo wa ki cameroon baada ya wazazi kufarik dunia,ambapo anahangaik huk na kule kama mtoto wa mtaani hatimaye analawitiwa na vijana wahuni kwa nguvu hali iliyompelekea kijana huyo kupoteza fahamu ambapo baadae akaokolew na wasamaria wema na kwenda kulelewa kwenye kituo cha kulelea watoto yatima,ambapo uko kelvin alianza kumis mchezo uo mchafu aliofanyiwa na vijana wa mitaani ambapo na yeye anatafuta kijana mwenzie kwenye kituo hicho na kumuomba amfanyie mchezo uo ambao ulianza kumkolea,hatimaye ukawa ndo mwanzo wa yeye kujihusisha na ushoga ambapo kila wakati akitak mchezo uo umuita rafiki yake na kwenda bafuni kufanyiana mchezo uo mchafu..ni hadithi kali na ya kusisimua!!
 
Riwaya kali kwa mtazamo wako ni ile inayohusisha ukameruni?
 
Sa amehamasisha ushoga kivipi?
 
Helpess hopeless, nilivyoona jina lako tu,hasira zote zikaisha,una bahati jina lako limekuokoa
 
Back
Top Bottom